Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MKURUGENZI WA TAWI LA BENKI KUU DODOMA ATEMBELEA MAONESHO YA NANENANE

  • 44
Scroll Down To Discover

Mkurugenzi wa Tawi la Benki Kuu Dodoma, Dkt. Wilfred Mbowe akipata maelezo kutoka kwa CPA Mukrim Ramadhan, Mratibu wa Programu kutoka Chuo cha Benki Kuu Mwanza wakati alipotembelea banda la BoT katika maonyesho ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi yanayoendelea kwenye viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma leo Agosti 05, 2025, katika picha kulia ni Meneja Msaidizi Idara ya Mawasiliano, Noves Moses na kutoka kushoto ni  Meneja Idara ya Fedha na Utawala Tawi la BoT Dodoma Bw. Francis Assenga na Meneja Idara ya Uendeshaji Tawi la BoT Dodoma  Bw. Nolasco Maluli.

Baadhi ya wananchi wakipata maelezo kutoka kwa wataalam mbalimbali wa Benki Kuu ya Tanzania BoT wakati walipotembelea katika banda la benki hiyo kwenye maonesho ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.



Prev Post Prof. Kyaharara Amwakilisha Rais Samia Katika Mkutano Wa UN Wa Nchi Zisizo Na Bandari
Next Post NANI KUCHUKUA TUZO YA MCHEZAJI EPL 2025/26?…..
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook