Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mtanzania Atelekezwa India, Aomba Msaada wa Matibabu – Video

  • 30
Scroll Down To Discover

Halima Kaisi ni Mtanzania aliyejipata kwenye hali ngumu nchini India baada ya kushawishiwa na mwanaume aliyekuwa mpenzi wake kwamba angemtafutia kazi, lakini baadaye alimtelekeza na kumuacha apambane mwenyewe.

Kwa sasa, Halima anaumwa na amedhoofika sana. Madaktari wamethibitisha kuwa ana matatizo ya figo, hali inayomlazimu kupata matibabu ya haraka. Anapitia kipindi kigumu, akiwa mbali na familia, bila msaada wa kutosha.

Tunaomba Watanzania wenye kuguswa na hali yake kumsaidia kwa chochote ili aweze kupata matibabu na kurejea katika hali yake ya kawaida.

Unaweza kutuma msaada kupitia:

📞 Namba ya Simu (Tigo Pesa/M-Pesa/Airtel Money):
0750 202 017 – Joan Machibya

🏦 Akaunti ya Benki (CRDB):
Account Number: 0152287095300
Jina: Joan Machibya



Prev Post HIZI HAPA ‘TRIKI’ ALIZOTUMIA ENG HERSI KUWAZUNGUKA SIMBA KUMPATA BALA CONTE…NI UMAFIA…
Next Post Watumishi Wawili wa TRA Wafariki Katika Ajali Geita
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook