Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Nusura Ya Mauti! Ndege ya Batik Air Yatingishwa na Hali Mbaya ya Hewa!

  • 37
Scroll Down To Discover

Ndege ya abiria ya Batik Air ilinusurika kuteleza wakati wa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, kutokana na hali mbaya ya hewa. Tukio hilo lilinaswa kwenye video iliyorekodiwa na mmoja wa abiria na kusambaa kwa kasi katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

Katika video hiyo, ndege ilionekana ikitikisika kwa nguvu wakati wa kutua, ikionyesha hali ya hatari huku ikikaribia kutoka nje ya njia ya kurukia na kutua (runway).

Batik Air ilithibitisha tukio hilo na kueleza kuwa hakuna abiria wala wahudumu walioumia.



Prev Post
Next Post Mbeto: Rais Dk Samia Kielelezo Cha Kiongozi Mwanademokrasia Afrika
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook