Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Wakili Ajitosa Ubunge Jimbo la Mbagala 

  • 41
Scroll Down To Discover

Mwanazuoni na Wakili Dk Aloys Rugazia ameibuka kwa kishindo baada ya kuchukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Mbagala, Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Dk Rugazia ametimiza haki yake hiyo, baada ya taarifa ilitolewa na Katibu Mkuu wa CCM Dk Emmanuel Nchimbi ya uchukuaji fomu rasmi wa chama hicho iliyotolewa Aprili 16,2025.
Kutokana na hatua ya Dkt Rugazia kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho ni rasmi kwamba analitaka jimbo hilo na
kwamba kwa sasa anahitaji nguvu ya ziadi ya kuwashawishi wajumbe.



Prev Post Nilimrudisha Mpenzi Wangu kwa Kutumia Hii Tiba ya Kienyeji
Next Post Mazishi Ya Rais Mstaafu Edgar Lungu Yasitishwa Afrika Kusini
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook