Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Dkt Samia Awaapisha Viongozi Wateule Ikulu Chamwino Dodoma (Picha +Video)

  • 13
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Simon Nyakoro Sirro kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 28 Juni, 2025

Rais Samia akimuapisha Kheri Denice James kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
Rais Samia akimuapisha Mboni Mohamed Mhita kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Rais Samia akimuapisha Beno Morris Malisa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.
Rais Samia akimuapisha Jabiri Omari Makame kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe.



Prev Post Rwanda na DRC Watia Saini Mkataba wa Amani Washington
Next Post Meridianbet Kuwapa Wapenzi wa Super Heli Fursa ya Kujishindia Samsung A25
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook