
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua John Pima kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora mkoani Tabora akichukua nafasi ya Elias Kayandabila.
Pima kabla ya kuteuliwa katika wadhifa huo amewahi kuhudumu kama Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Uteuzi wake umetangazwa Jumatatu Juni 23, 2025, na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!