Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Taswira ya Daraja la J.P Magufuli Kigongo–Busisi – Picha

  • 12
Scroll Down To Discover

Taswira ya Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 ambalo limefunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika eneo la Kigongo, Misungwi mkoani Mwanza tarehe 19 Juni, 2025. Daraja hilo ambalo ni sehemu ya barabara ya Usagara-Sengerema-Geita ni sehemu ya barabara kuu inayoanzia Sirari hadi Mtukula na ujenzi wake ulianza rasmi mwezi Februari, 2020.



Prev Post MAGAZETI Ya Leo Alhamisi tarehe 19 June 2025
Next Post Rais Samia Afungua Rasmi Daraja la JP Magufuli Kigongo–Busisi (Video +Picha)
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook