Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kamanda wa Polisi Dodoma Ahamishiwa Makao Makuu ya Upelelezi

  • 6
Scroll Down To Discover

Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) George Katabazi

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camillus Wambura amefanya uhamisho wa Makamanda watatu, Waliohamishwa ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) George Katabazi ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma amehamishiwa Makao Makuu ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Dodoma.



Prev Post Rais Samia Awatembelea Majeruhi wa Ajali Meatu – Picha
Next Post Waziri Mkuu Mgeni Rasmi Kilele Maadhimisho Ya Miaka 50 Ya TET
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook