Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Samia Afungua Kiwanda Kitakachoinufaisha Wakulima wa Pamba – Video

  • 23
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji pamba cha MOLI Oil Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 16, 2025, amefungua rasmi kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji wa pamba cha MOLI Mills Co. Ltd kilichopo Bariadi, Mkoa wa Simiyu.

Kiwanda hicho kinatarajiwa kuongeza thamani ya mazao ya wakulima wa pamba na kuboresha upatikanaji wa vifaa vya ujenzi wa miundombinu ya maji katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na maeneo mengine ya nchi.

Rais Samia akimsikiliza Mkurugenzi wa Kiwanda cha MOLI Oil Mills Co. Ltd Milembe Gugu Silanga kuhusu utengenezaji wa mabomba ya maji na uchakataji wa pamba kabla ya ufunguzi wa kiwanda hicho Bariadi mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.

 

 



Prev Post Mahakama Yaruhusu Lissu Kujitetea Kesi ya Uhaini – Video
Next Post Miliki Simu Kali ya Samsung A25 kwa Kucheza Super Heli
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook