Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mahakama Yaruhusu Lissu Kujitetea Kesi ya Uhaini – Video

  • 33
Scroll Down To Discover

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekubali maombi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kujitetea mwenyewe katika kesi ya uhaini inayomkabili.

Lissu anayewakilishwa na Jopo la Mawakili zaidi ya 30, aliwasilisha maombi hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Franko Kiswaga baada ya Jopo la Mawakili wanaomtetea kujitambulisha.

Baada ya kuwasilisha maombi hayo, Hakimu Kiswaga alisema anakubaliana na maombi hayo hivyo Lissu atajitetea mwenyewe hadi pale atakaposema basi.



Prev Post Rais Samia: Wasichana Wasome Sayansi kwa Ajili ya Maendeleo ya Taifa – Video
Next Post Samia Afungua Kiwanda Kitakachoinufaisha Wakulima wa Pamba – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook