

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania.
Jaji Masaju anachukua nafasi ya Prof. Ibrahim Juma ambaye amestaafu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dk. Moses Kusiluka, uapisho wake utafanyika Juni 15, 2025 Ikulu, Chamwino, Dodoma kuanzia saa 4:00 asubuhi.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!