Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Majaliwa Amwakilisha Rais Dkt. Samia Maadhimisho Ya Siku Ya Kimataifa Ya Uelewa Kuhusu Ualbino

  • 8
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwaleo Juni 13, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu HAssan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uelewa kuhusu Ualbino yanayofanyika katika uwanja wa Mwanga Centre, mkoani Kigoma.

Kaulimbiu ya Maadhimisho hayo kimataifa ni ‘Kudai Haki Zetu, Kulinda Ngozi Zetu, Hifadhi Maisha Yetu’.

Aidha, Kitaifa, kaulimbiu ya Maadhimisho hayo ni: “Ushiriki katika Uchaguzi ni Haki Yetu: Kuchagua na Kuchaguliwa, Linda Haki za Watu Wenye Ualbino.”



Prev Post Taarifa Ya Polisi Ajali Iliyoua Watu 9 Na Kujeruhi 44, Kamanda Afunguka Ajali – Video
Next Post SMZ imeweka mkazo kuifungua Pemba kiuchumi
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook