Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Prof. Mkumbo Aibua Shangwe Bungeni, Uchumi wa Nchi Yetu Unakua – Video

  • 36
Scroll Down To Discover


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema kuwa licha ya hali ya uchumi duniani kuendelea kuyumba, Tanzania imeonesha uimara kwa kuendelea kukuza uchumi wake kwa kasi na ustahimilivu wa hali ya juu.

Ameyasema hayo leo kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 45.



Prev Post Prof. Mkumbo Aibua Shangwe Bungeni, Uchumi wa Nchi Yetu Unakua – Video
Next Post Betri za Hifadhi za Nishati ya Jua Zazidi Kushika Kasi Nchini Tanzania
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook