

Mbunge Nusrat Hanje amesimama bungeni na kuhoji kuhusu upotevu wa fedha kwenye makusanyo ya serikali kama unavyoripotiwa mara kwa mara kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Hata hivyo, Hanje alitakiwa kukaa kwa maelezo kwamba majibu yaliyotolewa na serikali kwa maandishi, yameshajibu swali hilo!
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!