Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Jinsi Viungo Vya Binadamu Vinavyouzwa Kwa Siri India, Mtanzania Awaonya Wanaoenda Huko – Video

  • 18
Scroll Down To Discover

Mazito! Watanzania wanaoenda kufanya kazi kiholela katika nchi mbalimbali ikiwemo India, wapo kwenye hatari kubwa ya kupoteza viungo vyao au kupoteza maisha yao kutokana na ugumu wa maisha wanayokutana nayo wakiwa huko.

Mwanahabari wetu, @zali_mapito akiwa nchini India, alifanikiwa kuzungumza na mmoja kati ya Watanzania wanaoishi nchini humo ambaye amefunguka msoto wanaopitia Watanzania wanaoishi nchini humo.



Prev Post Bashiri kwa 5000 Ujishindie Samsung A25
Next Post Bunge Lachemka! Mbunge Akalishwa Chini Akihoji Upotevu Wa Fedha – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook