Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kanisa La Askofu Gwajima Lafungiwa – Video

  • 36
Scroll Down To Discover

Msajili wa Jumuiya za Kiraia nchini ametangaza rasmi kufutwa kwa usajili wa Glory of Christ Tanzania Church, Kanisa la Ufufuo na Uzima kuanzia tarehe 02 Juni 2025. Hatua hii imechukuliwa chini ya vifungu vya Sheria ya Jumuiya Sura ya 337, kama ilivyorekebishwa na Sheria ya Marekebisho Mbalimbali ya Sheria Na. 3 ya mwaka 2019.

 



Prev Post Taasisi ya Vodacom Foundation Kuwekeza TZS Bilioni 3.25 Kwenye Elimu Kupitia Ushirikiano naTaasisi ya Elimu Tanzania na Twaweza Afrika Mashariki
Next Post MAGAZETI ya Leo Jumanne 03 June 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook