Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MAGAZETI ya Leo Jumanne 03 June 2025

  • 32
Scroll Down To Discover

MAGAZETI ya Leo Jumanne 03 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 03 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 03 June 2025

Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amesema katika kipindi cha Julai 2024 hadi kufikia March 2025, takwimu zinaonesha Watu 1,500,212 kati ya waliopima na kutambua hali zao za maambukizi ya VVU walikuwa wameanza kutumia dawa za kufubaza VVU, sawa na asilimia 98.

Akitoa hotuba kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 Bungeni Jijini Dodoma leo June 02,2025, Mhagama amesema “Katika kipindi cha Julai 2024 hadi kufikia March 2025, takwimu zinaonesha kuwa jumla ya Watu 1,530,227 walikuwa wanatambua hali zao za maambukizi ikiwa ni sawa na 90% ya Watu 1,700,000 wanaokadiriwa kuishi na VVU nchini (95 ya kwanza), Watu 1,500,212 kati ya waliopima na kutambua hali zao za maambukizi ya VVU walikuwa wameanza kutumia dawa za kufubaza VVU, sawa na asilimia 98”

“Aidha jumla ya vipimo 874,944 vya kujua wingi wa VVU kwa wagonjwa walioanza kutumia dawa vilifanyika, ambapo vipimo vya wagonjwa 858,272 sawa na asilimia 98 vilionesha kuwa virusi vya UKIMWI vimefubazwa (95 ya tatu)”



Prev Post Kanisa La Askofu Gwajima Lafungiwa – Video
Next Post Mbeto: Askofu Gwajima Alitaka Unaibu Waziri Kwa Rais Samia Akanyimwa – Video
Related Posts
© Image Copyrights Title

MAGAZETI ya Leo Jumatano 04 May 2025

© Image Copyrights Title

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 02 June 2025

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook