Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Atunukiwa Tuzo Maalum ya Heshma na Bunge la Tanzania, Afisa Mtendaji Mkuu wa Nmb Ashiriki..

  • 39
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika viwanja Bunge Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika viwanja Bunge Jijini Dodoma tarehe 31 Mei, 2025.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi Ruth Zaipuna (wa nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi waliohudhuria hafla hiyo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi Ruth Zaipuna akifuatilia kilichokuwa kikiendelea mbele wakati wa hafla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima.



Prev Post BETI MECHI YA FAINALI REAL BETIS VS CHELSEA NA MERIDINBET LEO….
Next Post MAGAZETI ya Leo Jumapili 01 June 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook