
Unamdai mtu lakini unataka akulipe pesa zako bila kuharibu uhusiano wenu?
Darstate Company Limited @darstate_ ni kampuni ya mabingwa wa ukusanyaji wa madeni nchini, wakiwa na uzoefu na ushawishi wa kumfanya mdeni wako akulipe bila kugombana na wewe.
Uzuri ni kwamba wanafanya kazi hiyo kwa gharama nafuu ambazo unalipa baada ya kuwa mdeni wako ameshamaliza kukulipa.
Ofisi zao zipo Tegeta jijini Dar es Salaam katika Jengo la Tegeta Nyuki House, ground floor, ofisi namba 6.
Kwa mawasiliano, wapigie simu au tuma ujumbe WhatsApp kwa namba +255 673 633 242.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!