
Breaking: Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hillary amefariki dunia alfajiri ya leo, Mei 11, 2025.
Taarifa za kifo chake zimetolewa na Shirika la Habari Zanzibar, ZBC.
Taarifa zaidi zitakujia
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!