Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Daniel Chapo Awasili Zanzibar Kwa Ziara Ya Kikazi

  • 46
Scroll Down To Discover

Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Daniel Chapo tayari amewasili Zanzibar akitokea Jijini Dar Es Salaam ambapo akiwa Zanzibar atakua na ziara fupi ya kikazi

Akiwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume amepokelewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mheshimiwa Hamza Hassan Juma pamoja na viongozi wengine akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Nchini Tanzania Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo

Rais Chapo atakutana na Mwenyeji wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi pamoja na kutembelea kituo cha Uvuvi cha Bahari kuu Fumba



Prev Post Majaliwa Aongoza Kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Mazishi ya Hayati Cleopa Msuya
Next Post Rais Samia Kuongoza Taifa Kuaga Mwili wa Mzee Cleopa Msuya Jumapili – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook