Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Ampokea Rais Wa Jamhuri Ya Msumbiji Ikulu Dar – (Picha +Video)

  • 6
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ampokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Ikulu Dar es Salaam, leo tarehe 8 Mai, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.
Rais Samia akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Daniel Francisco Chapo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu.

 



Prev Post Rais Samia Afanya mazungumzo na Rais wa Msumbiji Daniel Francisco Chapo, Ikulu Dar
Next Post Kesi ya Tundu Lissu: EU Yatoa Wito wa Uangalizi wa Kimataifa
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook