Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Shigongo Aongoza Waombolezaji Kumuaga Kasango Mwizalubi, Buchosa- Video

  • 35
Scroll Down To Discover

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameshiriki mazishi ya Kasango Mwizalubi aliyekuwa Balozi wa CCM katika Kijiji cha Itabagumba, Buchosa wilayani Sengerema.

Akiwa kwenye msiba wa Mwizalubi ambaye pia alikuwa Mwenyeiti wa Kitongoji cha Mlumoni, Itabagumba, Shigongo amewakumbusha watu wote kuishi kwa upendo kwa sababu maisha ya duniani ni mafupi na kila nafsi itaonja mauti.



Prev Post Sekretarieti ya Mbowe Yajiondoa Chadema, Wasema Chama Kimepoteza Mwelekeo – Video
Next Post BD Yalamba udhamini wa Mil 639.5 wa betPawa
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook