Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Dkt. Samia Akabidhi Vikombe Kwa Washindi Wa Michezo Katika Sherehe Za Mei Mosi Singida

  • 13
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi Zawadi ya Vikombe kwa Washindi wa michezo Mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi Kitaifa yaliyofanyika Viwanja vya Bombadia Mkoani Singida leo Mei 01, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Zawadi ya Vikombe kwa Washindi wa michezo Mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi Kitaifa yaliyofanyika Viwanja vya Bombadia Mkoani Singida leo Mei 01,2025.

 



Prev Post Mbunge Shigongo: Baada Ya Miaka 15 Tanzania Itakuwa Nchi Bora Afrika Mashariki
Next Post Serikali Yaongeza Kima Cha Chini Cha Mshahara Kwa Watumishi Wa Umma Kwa Asilimia 35 – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook