Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Katiba mpya Tanzania inawezekana kufikia 2028? Katika Dira ya Dunia TV

  • 9
Scroll Down To Discover

Ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba mwaka jana nchini Tanzania imeendelea kuzua maoni tofauti, hasa miongoni mwa vyama vya kisiasa. Katika taarifa, chama cha ACT Wazalendo kimesema kimestaajabishwa na pendekezo la tume hiyo la kubuniwa kwa tume nyingine ya kupeleleza makosa ya jinai yaliyotokea wakati wa uchaguzi. Chama hicho kimesema uponyaji na uwiano wa kitaifa utapatikana kupitia uchunguzi huru, uwazi na taasisi ambayo itakubalika na raia wa Tanzania. #Tanzania #Uchaguzi #CCM #ACTWazalendo #BBCSwahiliLeo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post DUBE AONYESHA NJAA MABAO, YANGA YAITANDIKA MUEMBE MAKUMBI 4-0
Next Post Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 24/04/2026
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook