Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Rais Samia Ashiriki Mazungumzo na Viongozi wa EAC Arusha

  • 18
Scroll Down To Discover

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) William Somoei Ruto pamoja na Rais wa Uganda MYoweri Kaguta Museveni na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 07 Machi, 2026.

The post Rais Samia Ashiriki Mazungumzo na Viongozi wa EAC Arusha appeared first on Global Publishers.

Prev Post SBL Wakutana na Waziri wa Kilimo Chongolo Kukuza Kilimo
Next Post Mlipuko Mkubwa Watikisa Uwanja wa Ndege wa Dubai Baada ya Drone Kuanguka
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook