
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza wakati alipohutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Getrude Mongela. Mheshimiwa Majaliwa amefanya ziara ya siku moja wilayani humo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!