Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Mwigulu Awasili Arusha Kuzindua Miradi ya Kilimo na Kuzungumza na Wananchi

  • 13
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 6, 2026 amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ambapo anatarajiwa kufanya ziara ya siku moja mkoani Arusha katika Wilaya za Karatu na Monduli.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu anategemea kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa skimu za umwagiliaji katika Bonde la Eyasi, lililopo Wilaya ya Karatu, Mkoa wa Arusha.

Pia, Mheshimwa Dkt. Mwigulu atafanya mikutano ya hadhara Karatu mjini pamoja na Mto wa Mbu Wilayani Monduli

The post Waziri Mkuu Mwigulu Awasili Arusha Kuzindua Miradi ya Kilimo na Kuzungumza na Wananchi appeared first on Global Publishers.



Prev Post Nani Anaamua Nchi Iwe na Silaha za Nyuklia? Ukweli wa Siasa za Dunia
Next Post Wachungaji Wamwombea Rais Trump Ikulu ya Marekani
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook