Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Video: Waziri Mkuu Amtumbua Muuguzi Aliyemfanyia Upasuaji Mjamzito Nyumbani

  • 15
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa muuguzi wa Mkoa wa Tabora anayeshutumiwa kumfanyia mgonjwa upasuaji nyumbani kwake, kwenye kochi, kinyume na sheria na taratibu za utoaji huduma za afya.

Akizungumza na wananchi jijini Dodoma, Dkt. Nchemba ameeleza kusikitishwa na tukio hilo, akibainisha kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imewekeza kwa kiasi kikubwa katika kuboresha sekta ya afya, ikiwemo ujenzi wa vituo vya afya na ajira kwa wahudumu.
Aidha, Waziri Mkuu ameagiza Jeshi la Polisi kumkamata muuguzi huyo kwa hatua za kisheria, huku mamlaka husika za usajili na utoaji leseni za uuguzi zikielekezwa kumfutia leseni mara moja.

The post Video: Waziri Mkuu Amtumbua Muuguzi Aliyemfanyia Upasuaji Mjamzito Nyumbani appeared first on Global Publishers.



Prev Post Marekani Yathibitisha Kuzamisha Meli ya Kivita ya Iran Karibu na Sri Lanka – Video
Next Post Meli Ya Kijeshi Ya Iran Yazama Ikiwa Na Watu Zaidi Ya 100
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook