Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Video: Marekani na Israel Watangaza Mpango wa Kuchukua Udhibiti wa Anga ya Iran

  • 16
Scroll Down To Discover

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, amesema Marekani na Israel zinakusudia kuchukua udhibiti kamili wa anga ya Iran ndani ya muda mfupi, kama sehemu ya operesheni zao za kijeshi zinazoendelea.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 4, 2026 Hegseth alisema kuwa ndani ya wiki moja, mataifa hayo mawili yatakuwa na udhibiti wa anga ya Iran.

“Natumaini wote wanaotazama wanaelewa maana ya anga udhibiti kamili wa anga,” alisema.
“Inamaanisha tutaruka mchana na usiku, tukitafuta, kubaini na kuharibu makombora na miundombinu ya viwanda vya kijeshi vya Iran.”

Aliongeza kuwa, kwa mtazamo wa Washington, Iran “haitaweza kufanya chochote kuzuia hilo.”

The post Video: Marekani na Israel Watangaza Mpango wa Kuchukua Udhibiti wa Anga ya Iran appeared first on Global Publishers.



Prev Post Naibu Waziri Hamad Afika Kwenye Shamba la Kuku Kisarawe Linalozalisha Kuku Milioni 6
Next Post Marekani Yathibitisha Kuzamisha Meli ya Kivita ya Iran Karibu na Sri Lanka – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook