Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

IRGC Yadai Kulipiza Kisasi Baada ya Kifo cha Khamenei, Trump Atoa Onyo Kali

  • 15
Scroll Down To Discover

Taarifa zinazodaiwa kuenea mitandaoni, mashirika ya kijeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ikiwemo Jeshi la Mapinduzi la Kiislamu (IRGC), wametangaza kuwa watafanya mashambulizi makali dhidi ya Marekani.

Habari hizo zinadai kuwa hatua hiyo itatokana na kile kinachodaiwa kuwa kifo cha Kiongozi Mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Ayatollah Ali Khamenei.

Ripoti hiyo pia inasema kuwa Rais wa Marekani, Donald J. Trump, ametuma onyo kali kwa Iran kupitia mtandao wake wa Truth Social, akisema kuwa Marekani itachukua hatua kali kisiasa na kijeshi ikiwa Iran itatekeleza mashambulizi dhidi yake.

Katika ujumbe huo unasemekana Trump amelionya Jeshi la Mapinduzi la Iran na serikali ya Tehran kuwa wataadhibiwa kwa nguvu isiyowahi kutumika hapo awali iwapo watatekeleza vitisho vya mashambulizi.

The post IRGC Yadai Kulipiza Kisasi Baada ya Kifo cha Khamenei, Trump Atoa Onyo Kali appeared first on Global Publishers.



Prev Post BRECOL Yatangaza Ajira ya Quantity Surveyor – Omba Sasa
Next Post Video: Maafisa 40 wa Iran Wauawa katika Mashambulizi ya Israel na Marekani
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook