Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Gaza mpya Marekani, Saudi Arabia, Qatar na UAE waahidi fedha za ujenzi. Katika Dira ya Dunia TV

  • 18
Scroll Down To Discover

Rais Donald Trump amesema Marekani itatoa dola bilioni kumi kwa ajili ya ujenzi upya wa Gaza. Alitoa tangazo hilo katika mkutano wa kwanza wa Bodi yake ya Amani mjini Washington. Wanachama wengine wakiwemo Saudi Arabia, Qatar na UAE wameahidi dola bilioni saba. Umoja wa Mataifa unakadiria kwamba gharama ya kujenga upya uharibifu wa Gaza itakuwa dola bilioni 70. Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema Israel inakubaliana na Marekani kwamba hakutakuwa na ujenzi upya wa Gaza kabla ya kuondolewa kwa silaha. #Trump #SaudiArabia #Qatar #UAE #BBCSwahili #BBCSwahiliLeo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post JKT TANZANIA YAKARIBIA MALENGO YA MSIMU
Next Post Mwanamfalme wa zamani Uingereza Andrew Mountbatten-Windsor akamatwa. Katika Dira ya Dunia TV
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook