Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mwanamfalme wa zamani Uingereza Andrew Mountbatten-Windsor akamatwa. Katika Dira ya Dunia TV

  • 38
Scroll Down To Discover

Mwanamfalme wa zamani na mdogo wa Mfalme Charles, Andrew Mountbatten-Windsor, amekamatwa na polisi wa Uingereza kwa tuhuma za utovu wa nidhamu katika ofisi ya umma. Polisi wanasema wanatathmini ripoti kwamba mwanamfalme huyo wa zamani alidaiwa kutoa habari za siri kwa Jeffrey Epstein ambaye alipatikana na hatia ya uhalifu wa kingono, tukio linalodaiwa kufanyika wakati Andrew alipokuwa mjumbe wa biashara wa Uingereza. Andrew Mountbatten Windsor amekana makosa yanayohusiana na nyaraka za Epstein. #AndrewMountbattenWindsor #Epstein #BBCSwahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post Gaza mpya Marekani, Saudi Arabia, Qatar na UAE waahidi fedha za ujenzi. Katika Dira ya Dunia TV
Next Post Waziri Mkuu Kuanza Ziara Ya Kikazi Mkoani Arusha Februari 22, 2026
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook