
Pichani ni matukio mbalimbali jinsi tuzo za Wabufu Tanzania Creator, zilizofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Jijini Dar zilivyonoga.
Miongoni mwa tuzo zilizotolewa ni tuzo ya runinga bora ya mtandaoni (Best Online Media 2025) ambapo Global Tv iliibuka kidedea na kuacha bonge la shangwe ukumbini hapo.
Angalia baadhi ya matukio;






Staa wa Muvi za Kibongo, Kajala Masanja akishuka jukwaani baada ya kumkabidhi mshindi tuzo.

HABARI / PICHA NA RICHARD BUKOS GPL
The post Tuzo za Wabunifu nchini Zilivyonoga Usiku wa Kuamkia Leo Mlimani City appeared first on Global Publishers.






Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!