Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Vilio vyaibuka mahakamani katika kesi ya Tundu Lissu. Katika Dira ya Dunia TV

  • 29
Scroll Down To Discover

Kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama cha upinzani CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu imeahirishwa mapema hii leo baada ya mtuhumiwa kuieleza mahakama kuwa hajapatiwa chakula cha mchana licha ya Jaji kuelekeza na kutoa muda wa maafisa wa magereza kufanya hivyo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post GUEYE AENDELEE KUTIKISA,PRISONS WAPATE ONYO
Next Post Tuzo za Wabunifu nchini Zilivyonoga Usiku wa Kuamkia Leo Mlimani City
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook