Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Makamu Nchimbi Kwenye Mazishi ya Munde Tambwe Tabora

  • 18
Scroll Down To Discover


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, amewasili katika Kata ya Cheyo, Manispaa ya Tabora mkoani Tabora, kushiriki msiba wa marehemu Munde na kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa pamoja na wananchi wa eneo hilo.

 

Katika msiba huo, viongozi mbalimbali wa kitaifa na wa Serikali wameungana na waombolezaji, akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Upendo Wella, pamoja na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, ambao walitoa salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu.

The post Makamu Nchimbi Kwenye Mazishi ya Munde Tambwe Tabora appeared first on Global Publishers.



Prev Post Rais Samia Atangaza Fursa za Uwekezaji Tanzania Mbele ya Viongozi wa Dunia
Next Post Rais Kiir Awafutia Kazi Wasaidizi Wawili Baada ya Kuteua Marehemu
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook