

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Mtawala wa Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, kando ya Mkutano wa Dunia (WGS2026) hapa, Dubai, tarehe 04 Februari, 2026.
The post Rais Samia Akizungumza Jambo na Makamu Rais wa UAE appeared first on Global Publishers.






Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!