Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mzee Tifutifu Anayedai Kuwatupia Majini Simba Afunguka – Video

  • 23
Scroll Down To Discover

Mzee Athuman Mshomari almaarufu Mzee Tifutifu, ambaye anadai kuwa ni mganga wa kienyeji, amedai kuwa yeye ndiye chanzo cha matokeo mabaya yanayoikumba Klabu ya Simba, ikiwemo kufungwa mara kwa mara na kushuka kwa kiwango cha uchezaji wa baadhi ya wachezaji wake.

Amesema anayo madai yake kwa viongozi wa klabu hiyo na kwa sababu walikataa kuyatekeleza, aliamua ‘kuitupia majini’, akisisitiza kuwa Simba haitaweza kupata mafanikio hadi viongozi wa klabu hiyo watakapofika kuzungumza naye.

Aidha, amedai kuwa kuna mambo muhimu yanayohitaji kujadiliwa kati yake na viongozi wa klabu hiyo kabla ya hatua zozote kuchukuliwa.

 

 

The post Mzee Tifutifu Anayedai Kuwatupia Majini Simba Afunguka – Video appeared first on Global Publishers.



Prev Post Waziri Mkuu Afanya  Mazungumzo  Na Waziri Wa Mambo  Ya  Nje Fedha  Na Taasisi  Ya  Kuke Ya Poland
Next Post Pep Guardiola Azungumzia Mauaji Marekani, Israel, Ukrane – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook