Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Afanya  Mazungumzo  Na Waziri Wa Mambo  Ya  Nje Fedha  Na Taasisi  Ya  Kuke Ya Poland

  • 22
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Wizara ya Fedha pamoja na Taasisi ya Usafirishaji wa Bima ya Mikopo (KUKE) kutoka nchini Poland ofisini kwa Waziri Mkuu,  Bungeni jijini Dodoma leo Februari 4, 2026.

Viongozi hao wamejadili kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati ikiwemo Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR kipande cha 3 na 4) pamoja na kujadili fursa za kuimarisha ushirikiano wa kifedha baina ya Tanzania na Serikali ya Poland.

The post Waziri Mkuu Afanya  Mazungumzo  Na Waziri Wa Mambo  Ya  Nje Fedha  Na Taasisi  Ya  Kuke Ya Poland appeared first on Global Publishers.



Prev Post Urusi na Ukraine yafanya kikao maalum cha kumaliza vita kati yao. Katika Dira ya Dunia TV
Next Post Mzee Tifutifu Anayedai Kuwatupia Majini Simba Afunguka – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook