Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mbunge Musukuma ‘Azichapa’ na Mwekezaji, Serikali Yatajwa Kuchukua Hatua – Video

  • 45
Scroll Down To Discover

Wabunge kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya serikali katika kitongoji cha Katoro Center kilichopo mji mdogo wa Katoro.

Wabunge hao ambao ni Joseph Musukuma wa Jimbo la Geita pamoja na Mhandisi Kija Ntemi wa jimbo la Katoro wamewasilisha malalamiko yao baada ya kamati ya Uchumi na fedha ya halmashauri kutembelea eneo hilo ambapo kuliibuka mzozo uliosababisha Musukuma ‘kuzichapa kavukavu’ na mwekezaji huyo.

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.

The post Mbunge Musukuma ‘Azichapa’ na Mwekezaji, Serikali Yatajwa Kuchukua Hatua – Video appeared first on Global Publishers.



Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JANUARI 25, 2026
Next Post Sakata la Ardhi Karagwe: Watoto wa Marehemu Wadai Kudhulumiwa Ekari 32 – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook