Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Mwigulu  Akutana Na Prof. Mkenda Na  Timu  Ya Wataalam Ya  Wizara Ya  Elumu

  • 22
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu, Dkt.Mwigulu Nchemba leo Januari 15, 2026 amefanya kikao cha kazi  na Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda (wa pili kulia), Naibu Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, pamoja na Timu ya Wataalam kutoka Wizara hiyo.
Kikao hicho ambacho kimefanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma pamoja na mambo mengine wamejadili mikakati mbalimbali yenye lengo la kuendeleza sekta ya elimu nchini.
Katika kikao hicho pia, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo alishiriki.

The post Dkt. Mwigulu  Akutana Na Prof. Mkenda Na  Timu  Ya Wataalam Ya  Wizara Ya  Elumu appeared first on Global Publishers.



Prev Post Uchaguzi Uganda 2026. Katika Dira ya Dunia TV
Next Post Yanga Yamtambulisha Mshambuliaji Laurindo Depu Kutoka Poland
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook