Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Yanga Yamtambulisha Mshambuliaji Laurindo Depu Kutoka Poland

  • 33
Scroll Down To Discover

Klabu ya Yanga rasmi imemtambulisha mshambuliaji wa kati Laurindo Dilson Maria Aurélio Depu (25), raia wa Angola, akitokea klabu ya Radomiak Radom ya Poland.

Depu amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa Tanzania Bara, akitarajiwa kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji wa timu hiyo kuelekea mashindano ya ndani na kimataifa.

Usajili wa Depu ni sehemu ya mkakati wa Yanga kuendelea kuimarisha kikosi chake, hususan katika eneo la ushambuliaji, wakilenga mafanikio makubwa zaidi msimu ujao.

The post Yanga Yamtambulisha Mshambuliaji Laurindo Depu Kutoka Poland appeared first on Global Publishers.



Prev Post Dkt. Mwigulu  Akutana Na Prof. Mkenda Na  Timu  Ya Wataalam Ya  Wizara Ya  Elumu
Next Post Rais Samia: Ukomavu wa Taasisi Zetu Umeiwezesha Tanzania Kujitegemea Kidemokrasia – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook