Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

AFCON 2025: Vita ya Nusu Fainali Yaiva Januari 9 na 10

  • 40
Scroll Down To Discover

Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 imeingia hatua ya Robo Fainali, ambapo timu nane bora barani Afrika zimejipanga vyema kuwania kufuzu nusu fainali na kuendelea kutafuta ubingwa wa bara.

Robo fainali inatarajiwa kuchezwa tarehe 9 na 10 Januari 2026, ikijumuisha mechi nne za kusisimua zinazotarajiwa kuvutia mashabiki wa soka kutoka pande zote za Afrika.

The post AFCON 2025: Vita ya Nusu Fainali Yaiva Januari 9 na 10 appeared first on Global Publishers.



Prev Post Video: Mwenyekiti wa Mtaa wa Oysterbay Aeleza Mtego Uliowanasa Wachina
Next Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JANUARI 08, 2026
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook