Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Mwigulu Azungumza Na Machinga, Madereva Pikipiki Na Bajaji

  • 23
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 08, 2026 anazungumza na Wamachinga, madereva pikipiki na bajaji za kubeba abiria katika kongamano la mwaka linalofanyika kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini (JNICC) Dar es Salaam.

Kongamano hilo lina lengo la kuwakutanisha wadau wote wakuu wa sekta ya wamachinga na usafirishaji wa pikipiki na bajaji ili kutafakari kwa pamoja mustakabali wa kazi zao katika maendeleo ya jamii na Taifa letu.

 

The post Dkt. Mwigulu Azungumza Na Machinga, Madereva Pikipiki Na Bajaji appeared first on Global Publishers.



Prev Post Mustakabali wa Venezuela baada ya rais wa mpito kuapishwa Katika Dira ya Dunia TV
Next Post Baada ya Kumng’oa Maduro, Trump Afungua Mlango wa Mazungumzo na Colombia
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook