Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Dkt. Mwigulu Afungua  Skuli Ya Chukwani  Zanzibar 

  • 32
Scroll Down To Discover

Ampongeza Dkt. Mwinyi kwa uwekezaji katika sekta ya Elimu
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 05, 2026 amefungua Skuli ya Sekondari Chukwani, Zanzibar ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Ujenzi wa skuli hiyo ambayo imegharimu shilingi bilioni 6.1 imeanzishwa kwa lengo la kuwaandaa vijana wenye maarifa, ujuzi, ubunifu na
maadili, kwa kuunganisha nadharia na vitendo na hivyo kuwa na manufaa mengi ikiwemo kuongeza fursa za elimu bora kwa watoto wa Zanzibar.
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa uwekezaji mkubwa alioufanya katika sekta ya elimu.

The post Dkt. Mwigulu Afungua  Skuli Ya Chukwani  Zanzibar  appeared first on Global Publishers.



Prev Post Mwigulu Azindua Skuli Mpya Zanzibar, Apongeza Rais Mwinyi kwa Uwekezaji wa Elimu
Next Post Nilihangaika Kwa Miaka Mitatu Kwenye Ndoa Bila Kupata Mtoto, Mbinu Hii Ikanisaidia
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook