Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mwigulu Azindua Skuli Mpya Zanzibar, Apongeza Rais Mwinyi kwa Uwekezaji wa Elimu

  • 25
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 05, 2026 amefungua Skuli ya Sekondari Chukwani, Zanzibar ikiwa ni sehemu ya shamrashamra ya maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Ujenzi wa skuli hiyo ambayo imegharimu shilingi bilioni 6.1 imeanzishwa kwa lengo la kuwaandaa vijana wenye maarifa, ujuzi, ubunifu na
maadili, kwa kuunganisha nadharia na vitendo na hivyo kuwa na manufaa mengi ikiwemo kuongeza fursa za elimu bora kwa watoto wa Zanzibar.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa uwekezaji mkubwa alioufanya katika sekta ya elimu.

 

 

The post Mwigulu Azindua Skuli Mpya Zanzibar, Apongeza Rais Mwinyi kwa Uwekezaji wa Elimu appeared first on Global Publishers.



Prev Post Rais Samia Akabidhiwa Tuzo Tatu za Utalii Kimataifa – Picha
Next Post Dkt. Mwigulu Afungua  Skuli Ya Chukwani  Zanzibar 
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook