Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Maduro Afikishwa Mahakama baada ya Kukamatwa na Marekani

  • 26
Scroll Down To Discover

Rais wa zamani wa Venezuela aliyeondolewa madarakani, Nicolás Maduro, amefikishwa katika Mahakama ya Shirikisho ya Manhattan leo Januari 5, 2026 kujibu mashtaka yanayomkabili.

Maduro anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi unaohusishwa na biashara ya dawa za kulevya (narco-terrorism), siku chache baada ya kukamatwa kwake na jeshi la Marekani tukio lililozua sintofahamu kubwa kuhusu mustakabali wa taifa hilo lenye utajiri wa mafuta barani Amerika Kusini.

Maduro na mke wake, Cilia Flores, wamewekwa kizuizini katika Gereza la Brooklyn baada ya vikosi vya Marekani kuwakamata mjini Caracas katika oparesheni ya kushtukiza iliyofanyika mwishoni mwa wiki.

Kesi hiyo inatarajiwa kuvutia hisia za kimataifa huku maswali yakiongezeka kuhusu mwelekeo wa kisiasa na kiusalama wa Venezuela.

The post Maduro Afikishwa Mahakama baada ya Kukamatwa na Marekani appeared first on Global Publishers.



Prev Post Singida Black Stars Yafanya Mabadiliko Makuu: Ouma Kocha Mkuu, Najjar Meneja Mkuu
Next Post Video: Kikwete Asema Urais ni Mpango wa Mungu, Afafanua Nafasi ya Kiongozi
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook