Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Video: Kikwete Asema Urais ni Mpango wa Mungu, Afafanua Nafasi ya Kiongozi

  • 28
Scroll Down To Discover


Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, amesema suala la kuwa kiongozi hususan urais ni mipango ya Mungu.

Kikwete amesema tume iliyoundwa na Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin Mkapa na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Karume mwaka 2001 ambayo alikuwepo yeye, Samia Suluhu Hassan (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa), Dkt. Ali Shein na Marehemu Adam Mwakanjuki.

Ametoa kauli hiyo wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya Uhamiaji na Makazi ya Askari lililopo wilayani Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni sehemu ya sherehe za Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

The post Video: Kikwete Asema Urais ni Mpango wa Mungu, Afafanua Nafasi ya Kiongozi appeared first on Global Publishers.



Prev Post Maduro Afikishwa Mahakama baada ya Kukamatwa na Marekani
Next Post Rais Samia Akabidhiwa Tuzo Tatu za Utalii Kimataifa – Picha
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook