Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Akagua Ujenzi wa Madrasa Ali Ba Alawi Kiluvya – Video

  • 33
Scroll Down To Discover

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, amefika kukagua ujenzi wa Madrasa Ali Ba Alawi Kiluvya, ambayo miezi kadhaa iliyopita aliagiza kusimamishwa kwa shughuli zake kutokana na ubovu wa mazingira yaliyokuwepo.

Magoti amewashukuru wadau mbalimbali walioguswa na kushiriki kuchangia hadi kufikia hatua ambayo madrasa hiyo imefikia na kueleza kuwa mwanzo alipoifunga madrasa hiyo, wapo watu ambao walidai kuwa ‘amekuja kuvunja Uislamu’ katika wilaya hiyo.

The post Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Akagua Ujenzi wa Madrasa Ali Ba Alawi Kiluvya – Video appeared first on Global Publishers.



Prev Post Shilole Apata Ajali Njiani Akitoka Kigoma Kurudi Dodoma
Next Post Rais wa zamani wa Brazil Aruhusiwa Hospitali, Arudishwa Gerezani
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook