Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Vodacom yaendelea kusambaza upendo kwa wateja wa Kanda ya Ziwa

  • 43
Scroll Down To Discover

Timu ya Vodacom Tanzania kanda ya ziwa ikiendelea kusambaza upendo kwa wateja wake kwa kugawa Kapu la Vodacom ikiwa ni ishara ya kusherehekea msimu huu wa sikukuu pamoja na wateja wao na kuhitimisha sherehe za Miaka 25 ya utendaji wa kampuni hiyo hapa nchini.

Hafla hii imefanyika katikati ya mwezi Disemba wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera.

The post Vodacom yaendelea kusambaza upendo kwa wateja wa Kanda ya Ziwa appeared first on SwahiliTimes.



Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO DESEMBA 31, 2025
Next Post JIWE MOJA KUUWA NDEGE WAWILI SIMBA SC
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook